Genesis 17:4-6

4 a“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi. 5 bJina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,
Abrahamu maana yake Baba wa watu wengi.
kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
6 dNitakufanya uwe na uzao mwingi sana, kwako yatatoka mataifa nao wafalme watatoka kwako.
Copyright information for SwhNEN